FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Coca hebu tusigombane bure, chuki hizo na Manula kwa kitu gani? Sina mambo ya Uyanga kwenye timu ya Taifa ndio maana unaona hakuna nilikompondea mchezaji yeyote wa Simba.

Sio lazima tukubaliane, hivyo ni vyema kuheshimu maoni ya wengine.
Mbona mimi sijakuvaa unavyoponda beki zilikuwa hovyo? Tena umeweka wazi kabisa ni beki za Yanga Bacca na Mwamnyeto...
Hapana bhana kwenye ukweli tuseme, unavyosema kuwa ushachoka maumivu ya kipa kutokua na uwezo kuwa ktk team ya taifa na hujazoea, na ukasema kuwa wavumilie hao hao wenye kipa wao wa kufungwa 5, ulimaanisha nn?

Ndo maana nkasema una chuki binafsi, mie nasema kuwa mabeki wabovu hata Zimbwe yupo pia. Tunachokataa ni lawama kwa Manula, hachezi pekee yake.

Kwann nimesema chuki binafsi, paragraph ya mwanzo, ndo imemaliza, nweiii mie hata sidhani km tunagombanaa, just kuelekezana tyuuuh na kilichotokea uwanjani.

Relaaaaxxx
 
eti wanaombea zambia na congo dr watoke sare au suluhu wakiamini kuwa wana uwezo wa kuzifunga wakikutana nazo

kazi kweli kweli.......!!
 
Ukipata no yake usituangushe sisi tupo na wewe hadi umpate [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu lazima niruke nae, huenda ndo ikawa ticket ya kutokaa bongo, unashangaa ananibebaaa mambelee
Uduguu fursaa kuifataaa, haijiletiiiiii mweeeeh
 
Hapana bhana kwenye ukweli tuseme, unavyosema kuwa ushachoka maumivu ya kipa kutokua na uwezo kuwa ktk team ya taifa na hujazoea, na ukasema kuwa wavumilie hao hao wenye kipa wao wa kufungwa 5, ulimaanisha nn?

Ndo maana nkasema una chuki binafsi, mie nasema kuwa mabeki wabovu hata Zimbwe yupo pia. Tunachokataa ni lawama kwa Manula, hachezi pekee yake.

Kwann nimesema chuki binafsi, paragraph ya mwanzo, ndo imemaliza, nweiii mie hata sidhani km tunagombanaa, just kuelekezana tyuuuh na kilichotokea uwanjani.

Relaaaaxxx
Mi nimesema tusigombane & actually hiyo level ya kugombana na watu JF nilishaivuka mwaya.
Peace
 
Back
Top Bottom