Tunafanya pre-game analysis 🤣🤣🤣.Hivi hizi threads za michezo kuanzisha usiku wa manane ndio nini?
Nimemiss kipindi threads zinaanzishwa karibia na muda wa mechi, homa iko juu tunachangia kwa mihemuko & mchecheto.
Hizi za mapema hadi kufika muda wa mechi tumeshachoka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo sio goalkeeper, shida ni wachezaji wa ndani,Kwa jinsi nilivyowaona Zambia wakicheza,sidhani kama Tz atamfunga Zambia.
Na bado mziki wa Congo.
Tz inaweza kutoka patupu,,yaani Goli 0.
Jiandaeni kwa vipigo na maumivu.
Golini yupo pazia Manula.
Na golikipa naye ni pazia vilevile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo sio goalkeeper, shida ni wachezaji wa ndani,
Kazi Ipo kwa kweli.Na golikipa naye ni pazia vilevile
Mabeki vilaza
Ma forward ndio vilaza wa kutupwa,akina Samantha sijui..heri wangechukuliwa hata maforward wa ihefu kuliko kikosi watu wanagawana namba kwa kuangalia majina.
Golikipa wa Simba Salim ni mzuri kuliko Manula ..ila kwa sababu wamepeana nafasi kindugu acha wavune walichopanda.
Na golikipa wa Zambia anavyodaka,
Tanzania ni miongoni mwa timu itakayotoka kwenye mashindano haya na magoli sifuri.
Mimi nimeshauri ni bora mods wawe wanaanzisha threads wao. Mechi saa 2 usiku kesho, mtu anaanzisha thread leo saa 6 usiku.Hivi hizi threads za michezo kuanzisha usiku wa manane ndio nini?
Nimemiss kipindi threads zinaanzishwa karibia na muda wa mechi, homa iko juu tunachangia kwa mihemuko & mchecheto.
Hizi za mapema hadi kufika muda wa mechi tumeshachoka!
Nakazia.tukipigwa 4 mie ntafurahi sana
Mahaba yamekuzidi mkuu, Starz anatoka bila goli hata 1 ktk haya mashindano.Timu ya Tanzania ni kama kama kila mtu kwenye group lake anajua atajipigia..hata hivyo kati ya Zambia na Congo mmoja atatufunga mwingine tutatokanae droo.
Zambia tia maji tia maji kama sisiKazi Ipo kwa kweli.