FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Naona kama Hawa wachezaji wamefanya makusudi aisee ,
Wamefanya ujinga mwingi Sana aisee
 
Nitakukumbusha. Nimesave hii
 
Kuna namna hawa viongozi wetu wanatuudhi sana yaani🚮🚮, watanzania tunapenda sana mpira pengine kuliko nchi yoyote Africa, lakini cha kushangaza....Acha kwanza ninywe maji maana nina hasira sana🤕🤕
 
Kuna namna hawa viongozi wetu wanatuudhi sana yaani🚮🚮, watanzania tunapenda sana mpira pengine kuliko nchi yoyote Africa, lakini cha kushangaza....Acha kwanza ninywe maji maana nina hasira sana🤕🤕
Usihofu nafasi bado ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…