FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

20240121_222555.jpg
 
Naona kama Hawa wachezaji wamefanya makusudi aisee ,
Wamefanya ujinga mwingi Sana aisee
 
Nasema kwa sababu nimeona uwezo wa stars leo. Wamecheza vizuri sana na wameumiliki mpira dakika zote 90 .mistakes huwa zinatokea lakini kiukweli taifa stars wamepiga mpira mzuri sana. Kocha atarekebisha next game tukiongeza uwezo kidogo tu zaidi ya leo tunaitoa Congo.
Nitakukumbusha. Nimesave hii
 
Kuna namna hawa viongozi wetu wanatuudhi sana yaani🚮🚮, watanzania tunapenda sana mpira pengine kuliko nchi yoyote Africa, lakini cha kushangaza....Acha kwanza ninywe maji maana nina hasira sana🤕🤕
 
Kuna namna hawa viongozi wetu wanatuudhi sana yaani🚮🚮, watanzania tunapenda sana mpira pengine kuliko nchi yoyote Africa, lakini cha kushangaza....Acha kwanza ninywe maji maana nina hasira sana🤕🤕
Usihofu nafasi bado ipo
 
Back
Top Bottom