Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Tunawafunga kama walitoka draw na zambia hii tuliyoihenyesha leo hawana maajabu.Huwezi kuwafunga congo kamwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunawafunga kama walitoka draw na zambia hii tuliyoihenyesha leo hawana maajabu.Huwezi kuwafunga congo kamwe
Aaa wapi. Ungeishia kupiga hesabu za kihasibu tu. Si ajabu tungekandwa hata matatu 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Samia anarejesha umeme baada ya mechi. Ningeangalia hii mechi ukute tungeshinda
Mwaka huu tunalingana tu sijaona cha zaidi.Zambia Sio saizi yetu.
Yaan angalau tumetoa SARE Mana tungeshinda, team ccm nikumsifia mama tyu!Kesho tungesikia mengi
Utasikia ooh Pongezi Kwa Serikali ya awamu ya sita.
Mara Samatta kafanya maajabu .
Asante Zambia mmetupunguzia kelele mtaani.
Kundi letu lipo vilevile kama lilivyoaanzaTumerudi kwenye nafasi yetu Pendwa
Nitakukumbusha. Nimesave hiiNasema kwa sababu nimeona uwezo wa stars leo. Wamecheza vizuri sana na wameumiliki mpira dakika zote 90 .mistakes huwa zinatokea lakini kiukweli taifa stars wamepiga mpira mzuri sana. Kocha atarekebisha next game tukiongeza uwezo kidogo tu zaidi ya leo tunaitoa Congo.
Kesho tungesikia mama kaupiga mwingiYaan angalau tumetoa SARE Mana tungeshinda, team ccm nikumsifia mama tyu!
Nafasi ya kumfunga Congo???Anyway tumetoa suluhu.
Bado nafasi tunayo.
Kwa takwimu hizi kila timu ina nafasi yakuingia 16 bora.Kundi letu lipo vilevile kama lilivyoaanza
Kwenye plot lilikuwa hiviView attachment 2879030
Na baada ya mechi limekuwa hivi
View attachment 2879029
Mtu mwingine asiyefatilia mpira anaweza kusema kundi hili bado halijacheza mechi yeyote
Mpira hauko hivyo. Tukijiandaa kwa lojiki ya hivyo aisee tutakandwa hata 5G na CongoTunawafunga kama walitoka draw na zambia hii tuliyoihenyesha leo hawana maajabu.
Kwani bado hajapiga simu?Kesho tungesikia mama kaupiga mwingi