FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Nachukia na nakereka na timu inayorelax baada ya kufunga bao moja tu, wanashikilia bomba vizuri halafu dakika za mwisho wanaachia wanafungwa..

Tunaanza kufarijiana kwa kupigiana mahesabu ya kwenye karatasi.. Fulani afungwe na fulani na sisi tushinde...WHAT THE....[emoji35]
 
Wamejitahidi though... Na back pass zao!

Possession tulikuwa juu...
 
Samatta amekwishwa kabisa, hajaisaidia team chochote.
Ingependeza mashindano haya yawe ya MWISHO KWA SAMATTA
 
Mpuuzi anakimbia kwenye wing anashindwa kupiga v pass kwa kibu dennis yuko free kabisa

Mzamiru kama scott mctominay wote wanajua pass za nyuma na pembeni na kujificha kwenye build up

Samatta anataka kujifanya messi unaenda wapi na mpira huna quality dribbling

Mechi ya congo aanze mudathir na yule kokola na lusajo

Taifa hatuna proper target man 9

Cross zinapigwa hamna mtu😆😆😆 kwa kweli Tanzania kituko mnalinda zambia wako pungufu😂
 
Kwani kabla ya hii mechi ya Zambia kuna aliyeamini tungewafunga Zambia?
Mimi ni mmoja wao ambao tuliamini tulikuwa na nafasi nzuri sana ya kumfunga Zambia leo kabla ya mechi na wakati wa mechi.

Matumanini yangu yalianza kukata kipindi cha pili kilipoanza nilipoona timu inacheza bila malengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…