Yupo Bize na malimwenguHivi Thomas Ulimwengu yuko wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo Bize na malimwenguHivi Thomas Ulimwengu yuko wapi??
Labda Congo mtaa, ya pale kariakooHaina shida mechi na Congo tunatoboa.hakuna kukata tamaa
zambia nipo mkuu nalia tu kwa kukosa ushindi wa leo😭😭😭Zambia upo?
Congo atatupiga kuanzia goli 3Taifa stars haina ubavu wa kuifunga timu yoyote katika mashindano haya kama tumeshindwa kuifunga Zambia leo basi hata hao Congo hatuwezi kuwafunga kubali kataa.
[emoji23][emoji23][emoji23] match ya mwisho na Congo? Akati mwenzako 16 bora daraja la kufika kulee ni wee.Wewe hauna uzalendo?
Hawataamini mechi ya mwisho
Team Inonga nipo na nimejaa teleee.Wale wanangu wa Congo tujuane
Team Mayele tujipange kitetema
Mungu ibariki DRC[emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani hadi Mode leo unajibizana na waja, kweli kimekurambaaaa.Wewe..... usilinishe maneno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipofu alitaka kuona Jua mara paaap watu wakamtoboa macho
Kwani baada ya mechi tumeifunga Zambia?Kwani kabla ya hii mechi ya Zambia kuna aliyeamini tungewafunga Zambia?
Na ile Congo iliyompelekesha Morroco mpaka kuomba mpira uishe ndio hiyo tunayoiwekea matarajio?Sasa unashangaa nini mkuu? Mbona hii Zambia tuliyoipelekesha leo ndio iliyotoa draw na Congo? Tulieni mtaona maajabu nawambia.
Samatta amekwishwa kabisa, hajaisaidia team chochote.Kama tumeshindwa kupata ushindi mechi hii, mtamfunga nani dunia hii enyi watanzania?
Back passes nyingi zisizo na kichwa wala mguu wakati una kagoli kamoja, mwisho wa siku unamrudishia Manula au beki anabutua mbele mpira unapotea mnaanza kuusaka upya. Mambo haya wanafanya hadi mapro kina Samatta ambao ungetegemea watupe mwanga wa namna bora ya kucheza kumbe ndiyo walewale tu badala ya kusukuma mashambulizi yeye ndiyo anayapoza.
Halafu Simba bado tunawategemea kina Zimbwe watufikishe nchi ya ahadi.
Inasaidia nini kumiliki mpira muda mrefu bila matokeo mazuri?Wamejitahidi though... Na back pass zao!
Possession tulikuwa juu...
Isipokuwa morocco.Na pia kila timu ina nafasi ya kushika mkia kwenye kundi F.
Striker ambaye ni nahodha wa timu hajaifungia goli kwa miaka 4 tukielekea wa 5 na anavyocheza utadhani kuna jambo la maana anafanya uwanjani.Samatta amekwishwa kabisa, hajaisaidia team chochote.
Ingependeza mashindano haya yawe ya MWISHO KWA SAMATTA
Mimi ni mmoja wao ambao tuliamini tulikuwa na nafasi nzuri sana ya kumfunga Zambia leo kabla ya mechi na wakati wa mechi.Kwani kabla ya hii mechi ya Zambia kuna aliyeamini tungewafunga Zambia?