FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Hivi kuna mtu anachukia back passes kama mimi?

Natukana mpaka sauti inaisha.
 
Timu ya taifa ina harufu ya rushwa, kuna namna baadhi ya selections za wachezaji flan flan zinafanywa ki upendeleo.

Hilo liko wazi kabisa!
Sidhani kama tuna wingi wa wachezaji wazuri sana kiasi cha rushwa kuwepo kwenye uchaguzi wa wachezaji, hayp mambo ni huko kwenye mataifa yenye wachezaji wengi wazuri.
 
Picha ya siku
IMG_9518.jpeg
 
Wajinga kwa hizi Sub wana jilipua, hapa tujiandae kushikilia bomba.
 
Back
Top Bottom