FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Michango ya Pesa kwa timu ya Taifa Stars imetumika kuwasafirisha hakina Mwijaku na wenzake kula BATA!
 
Feisal back pass
Mudathir back pass
Himid back pass
Mzamiru back pass
Msuva back pass
Kibu back pass
Such a disgrace mazee, Ujinga mtupu hahaha
 
IMG_9519.jpeg
 
Bora tumeambulia point 1 na Goli 1 Wazambia wanadharau sana walisema wana uhakika wa wakupata point 3 kwa Taifa Stars
 
Back
Top Bottom