Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha anastahili lawama, kitendo cha kurudi nyuma wakati zambia walikua pungufu ni cha kijingaWako pungufu tumeshindwa kupata goal, naona hata waalimu wa mpira Wana matatizo, makocha ni ovyo sana
Kama nawaona akina Nape, Mwana FA, Gerson Msigwa na wengineo wanavyofuta meseji za kumpongeza mama kwa ushindi
😁🤣Kwa majina naitwa Mpaji Musonda
Huyo atatupiga kama tumesimama.Congo hatuachii[emoji23][emoji23]
Hii timu imelaaniwaWote 😂😂😂
Sasa shabiki kabisa unaona eti Tanzania inapita? Inapita kwenda wapi?
Team Punguza Inawamudu Stars WaliokamilikaTuna historia mbaya na Zambia.
Wameshatushinda mara 18 Out of 32 games.
Tumeshinda mara 5 tu.
😁😁😁😁😁pale tunakula nyingii