Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule Daka yule aisee kichwa kama mshaleWanangu wa Zambia wameifanya kazi njema japo walikuwa kinyonge pungufu uwanjani.
They have our number...Ihefu usiwe na shaka nae tena..ligi ikianza watakua underdog wenu...
Wamewapiga kimoja sababu wapo nusu na nyinyi mmejazana 😂Mfilikiri wangetufunga nyingi sana.
Ukiangalia makundi mengine ubest loser ni ngumu kuupata hata Congo akifungwa maana hakuna timu ya kumfunga Congo zaidi yq goli 3. Kichwa cha mwendawazimu kilichobaki ni kukamilisha ratiba.Nasema kwa sababu nimeona uwezo wa stars leo. Wamecheza vizuri sana na wameumiliki mpira dakika zote 90 .mistakes huwa zinatokea lakini kiukweli taifa stars wamepiga mpira mzuri sana. Kocha atarekebisha next game tukiongeza uwezo kidogo tu zaidi ya leo tunaitoa Congo.
Uwezo wa kuifunga Congo upo mkuu kama umegundua mchezo wa leo stars wamecheza tofauti sana na mechi ya kwanza dhidi ya Morocco . Hemed mmoroko na juma mgunda wameweza kuisuka stars inayoonesha uwezo afcon. Tulia tarehe 24 siyo mbali.Mpira hauko hivyo. Tukijiandaa kwa lojiki ya hivyo aisee tutakandwa hata 5G na Congo
Taifa stars haina ubavu wa kuifunga timu yoyote katika mashindano haya kama tumeshindwa kuifunga Zambia leo basi hata hao Congo hatuwezi kuwafunga kubali kataa.Hatujawafunga Zambia kuanzia 2007
Labda tushinde njaa
Kwenye mpira goli ni goli tu hata ikiwa ni penalt inachukuliwa ni udhaifu wa timu pinzani. Tumepoteza nafasi 2 za wazi kabisa kibu denis na morice kocha ataona mapungufu hayo na kufanyia kazi . Bado stars tunayo nafasi.Zambia wamecheza zaidi ya dk 45 na watu 10. Kumbuka hili. Halafu Goli walilofunga Tanzania halitokani na ufundi wa timu ku-create bali kosa la beki ya Zambia.
Labda nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanzaAnyway tumetoa suluhu.
Bado nafasi tunayo.
Kwa kurudisha nyuma mipira au sio? Washenzi kazi kurudisha nyuma mipira golini kwako unategemea utamfunga Congo?Uwezo wa kuifunga Congo upo