FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

Nasema kwa sababu nimeona uwezo wa stars leo. Wamecheza vizuri sana na wameumiliki mpira dakika zote 90 .mistakes huwa zinatokea lakini kiukweli taifa stars wamepiga mpira mzuri sana. Kocha atarekebisha next game tukiongeza uwezo kidogo tu zaidi ya leo tunaitoa Congo.
Ukiangalia makundi mengine ubest loser ni ngumu kuupata hata Congo akifungwa maana hakuna timu ya kumfunga Congo zaidi yq goli 3. Kichwa cha mwendawazimu kilichobaki ni kukamilisha ratiba.
 
Mpira hauko hivyo. Tukijiandaa kwa lojiki ya hivyo aisee tutakandwa hata 5G na Congo
Uwezo wa kuifunga Congo upo mkuu kama umegundua mchezo wa leo stars wamecheza tofauti sana na mechi ya kwanza dhidi ya Morocco . Hemed mmoroko na juma mgunda wameweza kuisuka stars inayoonesha uwezo afcon. Tulia tarehe 24 siyo mbali.
 
Zambia wamecheza zaidi ya dk 45 na watu 10. Kumbuka hili. Halafu Goli walilofunga Tanzania halitokani na ufundi wa timu ku-create bali kosa la beki ya Zambia.
Kwenye mpira goli ni goli tu hata ikiwa ni penalt inachukuliwa ni udhaifu wa timu pinzani. Tumepoteza nafasi 2 za wazi kabisa kibu denis na morice kocha ataona mapungufu hayo na kufanyia kazi . Bado stars tunayo nafasi.
 
Back
Top Bottom