Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone mshangazo.Leo tunaanza kushangaza watu. Kila la kheri Young Africans
Tuwekee basi wimbo wa Hamonaiza utuburudishe wakati tunasubiri mpira🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
Hawataki hata kuusikia.Wasubiri kununua wachezaji kutoka Simba wawaokoe kutoka msambweni.Tuwekee basi wimbo wa Hamonaiza wakati tunasubiri mpira
Wewe hadi leo hujaijua tu timu yako, yani yanga huwa wanakuwa na fighting spirit pale wanapocompete na simba tu, hata kwenye ligi yanga ikicheza na simba ndio inakamia zaidi kuliko ikicheza na timu nyingine yoyoteIla tukubali tu fighting spirit ya wachezaji wa Yanga kwa sasa ipo chini sana. Am very sorry to say that! Al in all, i wish you all the best.
Tp Mazembe hata wakishinda njaa wanawabutua ibada ya kwanzaOya TP hao jamaa msiwapakie vumbi,watakimbia mapema,muwafunge kikawaida
Umeandika kwa hisia mpaka Nimejikuta natamani mshinde hii mechiIla tukubali tu fighting spirit ya wachezaji wa Yanga kwa sasa ipo chini sana. Am very sorry to say that! Al in all, i wish you all the best.
Hiyo moja imefikaje hapoFT: Yanga 1 - 2 Tout Puissant Mazembe....
Pride comes before a fall
Bora spirit ya kamdomo ipo juu watu waamini kupitia propaganda kuliko uhalisiaIla tukubali tu fighting spirit ya wachezaji wa Yanga kwa sasa ipo chini sana. Am very sorry to say that! Al in all, i wish you all the best.
😂😂😂😂Tuwekee basi wimbo wa Hamonaiza utuburudishe wakati tunasubiri mpira