MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Unaizungumzia Shimba au Simba s.c klabu ya 10 kwa ubora Afrika.Hivi vilabu vya zamani vya kariakoo havina la ajabu vikitoka nje. AIBU TUPU, wale Simba jana walifungwa mapema sana wameshindwa kurejesha na hawa leo naona ndio yale yale.
Tuambizane ukweli hizi club ni fitna tuu ila ubora bado haujawa sawa kulinganisha na vilabu vyengine vya Nchi za kiafrika.
Size yao ni IHEFU na SINGIDA BIG STAR tuuu
3-3 au sio?Hii ngoma ni sare kabisa
Tate Mkuu habari za huko ulipo?
Najua unataka kikombe cha maji ya kunywa, lakini bahati mbaya hata kukibeba huweziπ«£π«£π«£ jikaze..[emoji2][emoji2][emoji2]
Labda sare ya sendoffHii ngoma ni sare kabisa
Vipi tenaHahhhahahaha
Hapo sawaWanawakilisha vyura tu
Huyo atakuwa anawaza mechi ya RajaKuna mtu naona anatype huku analouwaaa
kwani vipi?Vipi tena
Siyo kuscore tu,kupata matokeo kabisaBy the way hi game yanga anaweza score
πππͺMpira dakika tisini.