FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Hivi vilabu vya zamani vya kariakoo havina la ajabu vikitoka nje. AIBU TUPU, wale Simba jana walifungwa mapema sana wameshindwa kurejesha na hawa leo naona ndio yale yale.

Tuambizane ukweli hizi club ni fitna tuu ila ubora bado haujawa sawa kulinganisha na vilabu vyengine vya Nchi za kiafrika.

Size yao ni IHEFU na SINGIDA BIG STAR tuuu
Unaizungumzia Shimba au Simba s.c klabu ya 10 kwa ubora Afrika.

Iliyofika robo fainali ligi ya mabingwa mara mbili?
 
Tate Mkuu habari za huko ulipo?

Najua unataka kikombe cha maji ya kunywa, lakini bahati mbaya hata kukibeba huwezi🫣🫣🫣 jikaze..[emoji2][emoji2][emoji2]

😃😃 Nilipoona tu hicho kikosi,nilijua leo tunafungwa. Prof. Nabi ana makusudi sana.

Mechi ya ugenini kama hiyo, alitakiwa kucheza na viungo wachezeshaji na wale wakabaji wengi mfano Mudathir Yahaya, Farid Mussa, na hao alio anza nao! kwa lengo la kumiliki mpira na pia kupunguza mashambulizi. Sasa anawapanga Kisinda na Moloko wasiojua kukaba, halafu anategemea matokeo!

Uzuri na nyinyi mlifungwa jana! Hivyo tutagawana maumivu. Mimi hata mpira wenyewe siangalii.
 
Leo hawa wakitoboa ni sare, mpira dk 90 wametangulia tu

Daima mbele 💛💚💪
 
Back
Top Bottom