FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Simba jana wamejaza viungo wakabaji watatu wamepata sare au ushindi? Wabongo bwana, kila mtu ni kocha wa mpira
 
Angekuwepo Morison tungeshinda hii mechi. Trust me!!!!
 
Acha undezi wewe, Simba iliyojaza viungo kibao jana mbona wamepasuka mbele ya timu mbovu? Umekaririshwa eti, Mpira ndivyo ulivyo kuna mistake ukifanya unaadhibiwa wametumia nafasi walizopata na yanga wamejifunza kitu
 
Kwa hiyo leo nabi hafai? Bila shaka wewe sio kati ya wale wawili.
 
Angekuwepo Morison tungeshinda hii mechi. Trust me!!!!
Yanga hakuna winga anayejua kufosi kama Morrison, Moloko, Kisinda na Farid hakuna kitu. Jamaa hawakuonesha mpira wowote zaidi ya kuizidi Yanga kwenye mipira ya juu kutokana na aina ya mabeki wetu
 
Angetolewa Mayele uwanjani kuna wachunga Ng'ombe wake wangefoka ile mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…