FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Unapamba mavi mauaHuyu Aziz master [emoji360] ni nyoko sana anaupigaji fulani hivi wa faulo[emoji91][emoji91][emoji119][emoji119] Dunia nzima hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapamba mavi mauaHuyu Aziz master [emoji360] ni nyoko sana anaupigaji fulani hivi wa faulo[emoji91][emoji91][emoji119][emoji119] Dunia nzima hakuna
Hata Mazembe wacheze nusu hawawezi vyura hawa.Hizo 4 labda wafunge na mikono
Hata bahasha hakuna?Sema tu Tunisia hakunaga Tigopesa na mwamuzi wetu Arajiga hii mechi Yanga tungeshinda nyingi tu na mikimbio mingi tuliokuwa nayo
[emoji28][emoji28]wahurumieni jamaniYanga anapenda kumpiku Simba kwenye mambo ya kipumbavu.
Jana tumepigwa kimoja. Wao wakaona wapigwe viwili.
Acha undezi wewe, Simba iliyojaza viungo kibao jana mbona wamepasuka mbele ya timu mbovu? Umekaririshwa eti, Mpira ndivyo ulivyo kuna mistake ukifanya unaadhibiwa wametumia nafasi walizopata na yanga wamejifunza kituApproach yake ya away ni ovyo, away anza kwa kujilinda kwa kutafuta sare hivyo viungo wakabaji ni muhimu.
Team selection ni ovyo, Lomalisa sio mchezaji wa kukaa benchi. Ni mrefu na ana offer vitu vingi kuliko Kibwana.
Yule beki wa kutoka Mali kaletwa kama urembo sio kwaajili ya mechi za kimataifa ama.
Mayele kawa floppy wa mechi ya leo na hakustaili kumaliza dakika 90, ni mmoja wa mchezaji aliyeharibu move nyingi.
Hakuna mchezaji paleTK Master a.k.a TK Zuwena
Yanga hakuna winga anayejua kufosi kama Morrison, Moloko, Kisinda na Farid hakuna kitu. Jamaa hawakuonesha mpira wowote zaidi ya kuizidi Yanga kwenye mipira ya juu kutokana na aina ya mabeki wetuAngekuwepo Morison tungeshinda hii mechi. Trust me!!!!
Angetolewa Mayele uwanjani kuna wachunga Ng'ombe wake wangefoka ile mbaya.Approach yake ya away ni ovyo, away anza kwa kujilinda kwa kutafuta sare hivyo viungo wakabaji ni muhimu.
Team selection ni ovyo, Lomalisa sio mchezaji wa kukaa benchi. Ni mrefu na ana offer vitu vingi kuliko Kibwana.
Yule beki wa kutoka Mali kaletwa kama urembo sio kwaajili ya mechi za kimataifa ama.
Mayele kawa floppy wa mechi ya leo na hakustaili kumaliza dakika 90, ni mmoja wa mchezaji aliyeharibu move nyingi.
Ungejibetia zako ukapata hela ya supu kesho kakaYanga anakufa 2 - 0
Clean "shit"Dunia ilivyo na maajabu utasikia walevi wanabishana kuwa sisi bado ni unbeatten na goalkeeper wetu anadaka mpaka mishale