Jamaa hawakuonesha mpira wowote lakini wamewakaanga bao mbili.Yanga hakuna winga anayejua kufosi kama Morrison, Moloko, Kisinda na Farid hakuna kitu. Jamaa hawakuonesha mpira wowote zaidi ya kuizidi Yanga kwenye mipira ya juu kutokana na aina ya mabeki wetu
Kujaza viungo wakabaji tupu sio ndio kupata matokeo. Ila kuna umuhimu wa timu kuwa na kiungo mmoja kwaajili ya kunusa hatari kabla ya kufikiwa golini. Nimezungumzia factor tatu mbona kimo cha Kibwana hauizungumzii. Kibwana anawezaje kumuweka nje lomalisa?Acha undezi wewe, Simba iliyojaza viungo kibao jana mbona wamepasuka mbele ya timu mbovu? Umekaririshwa eti, Mpira ndivyo ulivyo kuna mistake ukifanya unaadhibiwa wametumia nafasi walizopata na yanga wamejifunza kitu
Ndo maana walikataa kuvaa visit Tanzania walijua watatuzalilisha tu
Vipiiii Una hali gani huko uliko? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wananchiiii iiiiiiii welcome ....... welcome
Kushuhudia soka safi...
Ndo mlizopigwa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga anashinda mbili
USM 2 VS YAnga yaiiiiiiiiiiiiiiiiHoroyaaaaaa 1 vs simba yaaaaaiiii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baada ya Jana wale wazurulaji wa kimataifa kuliaibisha taifa, leo mabingwa wa nchi na timu ya Wananchi wa Tanzania Young Africans Leo wanaenda kulipa taifa raha[emoji123][emoji123][emoji1732][emoji1732]
Najua inauma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona umeikumbuka picha yako ya utotoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hivyo mpira kuna matokeo halafu kuna performance. Mfano jana Simba imefungwa na timu ambayo haikuonesha mpira wowote wa ajabu.Jamaa hawakuonesha mpira wowote lakini wamewakaanga bao mbili.
Nafurahi kusikia hiyo, Mungu akuweke.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah
Kwema kabisa ahjussi
Wote hao hamna kitu bora hata chizi wetu BenardBora Kisinda Kuliko Faridi, Faridi anazingua sana
Nafurahi kusikia hiyo, Mungu akuweke.
Kwa ngoja leo tuishie hapa nikuache, tutakutana tena kule kwetu S.Korea [emoji1]