FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

Hua natabia ya kuota vitu baadhi huwa ni kweli. Nimeota Mshindi wa leo atashinda kwa magoli 2 au 3. Goli moja kati ya hayo itakua la kujifunga. Sijui ni timu gani hasa itakayoshinda. Ila kupitia ndoto yangu naipa Yanga 60% na mpinzani 40%.
Ngoja tuone itakavyokua!

I'm crossed my fingers and Waiting πŸ€—
 
Tumieni kiswahili tu Kwa kila sentensi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usizunguke jiweke wazi kwamba wewe ni Uto. Hakuna ndoto ya hivyo
 
Bada ya Jana wale wazurulaji wa kimataifa kuliaibisha taifa, leo mabingwa wa nchi na timu ya Wananchi wa Tanzania Young Africans Leo wanaenda kulipa taifa raha[emoji123][emoji123][emoji1732][emoji1732]
Mzee wa bwaksi unaota ndoto πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…