FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Vipers chapa hao wabaki wakijikunyata. Vipers 4:0 Kolo
 
Waganda huwa hawana mchezo pale kwao. Ushauri wangu ni kuwa Simba ipaki tu bus kupunguzwa idadi ya magoli
Mzee leo tunashambulia mwanzo mwisho hakuna kupaki basi.

Tena leo wanacheza double strikers.
 
Kuna watu kwa kuwa walipigwa kwa Mkapa wakati wako kwenye siku zao..wanadhani na Mnyama hivyo hivyo.
Kila la kheri Mnyama.
 
Nafsi inaniambia kuwa niutangazie umma wa jukwaa hili kuwa ndugu ukiweza hata uwanjani usiende au hata Tv usiangalie maana Simba amekwisha shinda .

Nafsi imenishuhudia hivyo jioni hii nikiwa Bar nakunywa K vant zangu nafsi kila nikiuliza je tutapigwa inasema hapana leo kwenu simba .

Nenda Simba Nenda hata sasa nafsi imegoma kubadili muelekeo .

Akifungwa Simba sitarudi tena hapa jukwaani na itakuwa mwisho kuwa katika forum hii japo ni haiwezekani hata kidogo Simba kufungwa leo nafsi imesema No.
 
Kwa kikosi gani?
 
Hii nafasi yako Leo itakua inacheza namba ngapi?
 
Hapo ni K Vant ilikuwa inakushuhudia.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwa leo sitaweza kufanya hivyo maana nafsi imedhibitisha .

Alafu kwakuwa nafsi yangu haikuwahi kuniongopea hata mechi siangalii nipo nanwagilia moyo nataka kufika saa moja niwe nimezima ili nije nibebwe tu sitaki shari na wanayanga
Kumbe pombe zinaongea
 
Simba nawaombea ushindi . Maana hapo kilabuni hapata kalikaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…