FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Kinachonipa imani ya hawa majamaa kupigwa ni kwamba timu inayocheza soka la kushambulia na ku posses hua hayafurukuti. Yanapenda sana timu under dog na zile za kupak basi huku yenyewe yakiwa yanashambulia tu huku wapinzani wao wakiwa na kazi ya kuokoa. Hizo ndo game Yanapenda.
Wapigwe tu maana hakuna namna sasa" Mzengo Pinda
 
.
IMG_20221010_154836.jpg
 
Mungu ni mwema kila wakati
Simba nguvu moja
Nasema hivi trh 25 Simba anashinda..

Utashangaa haya Ila Simba anashinda kwa kishindo cha kuwashangaza wengi Uganda watakufa vibaya wakiwa nyumbani kwao

Tunza hii kumbukumbu..

Bao ni Vipers 0-3 Simba wakikoswakoswa basi ni Vipers 1-4 Simba

Usiseme nimeroga Ila tunza hii kumbukumbu

Mimi sio Simba Ila nnaweza kuona mbali
Simba SC WIN
Simba inashinda...

Bao ni Vipers 0-3 Simba wakikoswakoswa basi Vipers 1-4 Simba

Wafungaji ni hawa hapa

1. Zimbwe
2. Kapombe
3. Baleke wakikoswakoswa Phiri atatia kambani
4. Kanoute wakikoswakoswa Chama anaweka kambani

Hao 1&2 lazima mmoja atafunga.. au wote kwa pamoja

Kuna mchezaji mmoja atapata majeraha mabaya uwanjani kutokana na kasi ya mchezo kwa hio wacheze kwa tahadhari kubwa..

Nikiangalia naona uwanja utainama kwa hio Simba wacheze na kasi ya mchezo na wasiwe wanacheza na kupooza mipira ni kushambulia mwanzo mpaka mwisho mpira usipoe uwanjani inabidi mpira uwake moto uwanjani huo ndio ushindi wao..

Leo Simba anaenda kufuta aibu.. tusubiri mpira uanze na huu sio uchawi ni maono tu

Simba SC WIN
Naomba asitokee wa kusema uli-edit nimeweka mapema kabisa
 
Back
Top Bottom