Asilimia 50 ya timu ni wazee watupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia 50 ya timu ni wazee watupu
Yamebaki machache sana, leo msimbazi hapatalalika.Yamebaki masaa machache tusikie "Tumefikia makubaliano ya pande zote Mbili'
Huyu atakuwa Mgunda kaachiwa hii shughuli....
Wapigwe tu maana hakuna namna sasa" Mzengo PindaKinachonipa imani ya hawa majamaa kupigwa ni kwamba timu inayocheza soka la kushambulia na ku posses hua hayafurukuti. Yanapenda sana timu under dog na zile za kupak basi huku yenyewe yakiwa yanashambulia tu huku wapinzani wao wakiwa na kazi ya kuokoa. Hizo ndo game Yanapenda.
Nguvu moja [emoji123]Mamluki wapo wengi sana
Ushindi ndio unahitajika, sare bado ni kimeo tu.Apambane apate hata sare tu. Kama mbabe wake Horoya ameweza, na yeye akijitutumua ataweza tu.
Atashinda njaaSimba Leo atashinda japo Kuna mechi hiv karibuni itaondoka na kibarua cha mtu
Walioibetia Vipers wakaweka pesa zao rehani hawashauliwi kuangalia hii mechiLeo Yunus na Anukani wameanza! basi Kazi ipo na nitakuwa na Roho ngumu sana kutazama mechi ya leo.
Mungu ni mwema kila wakati
Simba nguvu moja
Simba SC WINNasema hivi trh 25 Simba anashinda..
Utashangaa haya Ila Simba anashinda kwa kishindo cha kuwashangaza wengi Uganda watakufa vibaya wakiwa nyumbani kwao
Tunza hii kumbukumbu..
Bao ni Vipers 0-3 Simba wakikoswakoswa basi ni Vipers 1-4 Simba
Usiseme nimeroga Ila tunza hii kumbukumbu
Mimi sio Simba Ila nnaweza kuona mbali
Naomba asitokee wa kusema uli-edit nimeweka mapema kabisaSimba inashinda...
Bao ni Vipers 0-3 Simba wakikoswakoswa basi Vipers 1-4 Simba
Wafungaji ni hawa hapa
1. Zimbwe
2. Kapombe
3. Baleke wakikoswakoswa Phiri atatia kambani
4. Kanoute wakikoswakoswa Chama anaweka kambani
Hao 1&2 lazima mmoja atafunga.. au wote kwa pamoja
Kuna mchezaji mmoja atapata majeraha mabaya uwanjani kutokana na kasi ya mchezo kwa hio wacheze kwa tahadhari kubwa..
Nikiangalia naona uwanja utainama kwa hio Simba wacheze na kasi ya mchezo na wasiwe wanacheza na kupooza mipira ni kushambulia mwanzo mpaka mwisho mpira usipoe uwanjani inabidi mpira uwake moto uwanjani huo ndio ushindi wao..
Leo Simba anaenda kufuta aibu.. tusubiri mpira uanze na huu sio uchawi ni maono tu
Simba SC WIN