FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

Ni aibu kwangu kushangilia ushindi huu, ni ushindi wa kipuuzia uliotegemea huruma ya mmakonde mwenzetu aliyechezesha.
 
Ni moja ya timu zenye safu butu sana ya ushambuliaji, wanayo hali ngumu awana kabisa mshambuliaji
Kwa namna Simba na Vipers Walivyo cheza hii mechi ni haki Yao kuwa katika nafasi walizopo.
 
Vipers awana kabisa mshambuliaji, ni timu yenye safu butu sana ya ushambuliaji na simba wameliona hilo walivyopata bao la papatu papatu wakaingiza mabeki kina nyoni mchezo wakaumaliza
 
Hongera Simba...

Ila timu bado sana, eneo la katikati mpira haukai, washambuliaji nao wanapoteza sana mipira hawawezi kuhold mpira kwa pasi zinazowafikia
 
Back
Top Bottom