OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nguvu Mojaaaaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naruhusiwa iangalia hii kumbukumbu mkuu maana nilikukatalia toka awaliBao VSC 0-3 SSC wakikoswakoswa VSC 1-4 SSC
Tunza kumbukumbu hii
Wiki ijayo tutakuwa nafasi ya pili hawa tunawatwanga mbele na nyuma yaani nje ndaniMpira unekwishaaa,Mungu ni Mwema sana! FT:Simba 1-0 Vipers.Simba Nguvu moja!
Yale mapimbi yameikimbia mada [emoji23]Nguvu Mojaaaaaaaaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikuwa unatuletea updates kwa nguvu kweli ukijua goli lingerudishwa🫣🫣🫣90+5"
Full time
VSC 0 SSC 1
Angalia tena nilipoandika Simba SC WIN alafu njoo tenanaruhusiwa iangalia hii kumbukumbu mkuu maana nilikukatalia toka awali
Kwa namna Simba na Vipers Walivyo cheza hii mechi ni haki Yao kuwa katika nafasi walizopo.Ni moja ya timu zenye safu butu sana ya ushambuliaji, wanayo hali ngumu awana kabisa mshambuliaji
Walipata nafasi nyingi za kufunga lakini sijui walikuwa wanashindwa vipi?Simba waongeze goli tupunguze ule mzigo tuliobebeshwa na waarabu na Horoya ...
Hata 1-0 linatosha. Kanuni za mashindano haya ni Head to head iwapo timu zitalingana point. Simba inaweza ikakata tiketi hata kabla ya mechi ya mwishoRaja ashinde 3-0
Rudia tenaHakuna ushindi hapa leo, Simba ya ushindi haiko hivi