FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Hakuna updates zozote? Hakuna timu iliyo ona goli la mwenzake? Nipo mbai kidogo na TV
Utopolo kafungwa goli moja bila..... Afadhali wamefungwa maana wana mdomo sana alafu wana timu bovu sana. Na viongozi wao wanatamba kuwa mashabiki wa yanga ni vichwa maji wanawaweka bize na mambo ya nje ya uwanja tena vya kipuuzi tu kuwasahaulisha ubovu wa timu yao.
 
anaoverconfidence ya ajabu sana yani mpira ule wa kuruka na mkono mmoja kweli? Apumzike.
 
Viongozi wa Yanga ni wapumbavu sana, toka Kaze atoke nini wanafanya sasa, haya Mwambusi katoka ujinga tu.
Nafasi ya pili hatuipati, Prison anatusubili shirikisho kule kwao ajipigie ushenzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…