FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Uto kama uto
1619379211999.png
 
Shikalo kiwango kimeisha. Hii ni mechi ya pili mfululizo anafungwa goli nje ya 18! Yanga iangalie namna ya kutafuta mbadala wake.

Kuna magolikipa wengi sana wazawa, wa bei nafuu na wanao mzidi kiwango Farouq Shikalo kwa mbali. Naamini viongozi wanapitia humu. Fanyieni kqzi huu ushauri wangu.
Tushaambiwa wenzetu wanataka back to back 10 bado unawaza ubingwa kwa uongoz wa msolwa anaye ongozwa na GSM msolwa n rubber stamp ikiwezekana n rubber band tuuu
 
Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Young African na Azam Umemalizika huku matokeo yakisoma Yanga Ya Dar Es Salaam kupoteza Mchezo Kwa goli moja bila. Matokeo haya yanaisogeza Azam katika kinyanganyiro cha kugombea nafasi ya pili katika msimamo Wa Ligi. Ingawa ligi haijafikia tamati. Timu Ya Simba imeonyesha Haina mzaha katika kugombea Ubingwa hasa baada ya kunyakua pointi zote tisa Kanda Ya Ziwa. Hivyo kuzifanya timu zilizobaki kuwa na option moja tu Ya kugombea nafasi ya pili kujihakikishia nafasi ya kushiriki michuano Ya kimataifa.Kwa Matokeo haya....Yanga imejiweka Katika mazingira yenye Changamoto Zaidi...! Ni suala la kuchanga Karata....!
Laana ya mwambusi itawatesa, kitendo alichoafanyaga saido kwa mwambusi, kitamwandama daima, mpaka atubu dhambi hiyo. Leo kapewa 90min, lakin alikuwa anademka tu.
 
Back
Top Bottom