FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Young African na Azam Umemalizika huku matokeo yakisoma Yanga Ya Dar Es Salaam kupoteza Mchezo Kwa goli moja bila. Matokeo haya yanaisogeza Azam katika kinyanganyiro cha kugombea nafasi ya pili katika msimamo Wa Ligi.

Ingawa ligi haijafikia tamati. Timu Ya Simba imeonyesha Haina mzaha katika kugombea Ubingwa hasa baada ya kunyakua pointi zote tisa Kanda Ya Ziwa.

Hivyo kuzifanya timu zilizobaki kuwa na option moja tu Ya kugombea nafasi ya pili kujihakikishia nafasi ya kushiriki michuano Ya kimataifa.Kwa Matokeo haya....Yanga imejiweka Katika mazingira yenye Changamoto Zaidi...! Ni suala la kuchanga Karata....!
 
Back
Top Bottom