SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Ingalao sasa mnaanza kutia akili na kujua kuwa kumbe hamjui. Ni hatua nzuri kuelekea kujitambua.Hata sijui aisee! Maana hata Fei Toto ndiyo namuona leo. Shikalo ni majanga kwa mipira ya mbali na ile ya kona! Na hana kabisa timing nzuri ya kutokea mipira.
Msimu ujao ni bora tu timu ikasajili magolikipa wa ndani! Wako wengi tu wanaofanya vizuri kuliko huyu Shikalo. Kama timu itafuzu kucheza mashindano ya kimataifa, halafu mlangoni akaachwa Shikalo! Hakika yatatukuta yale ya watani zetu msimu uleee wa hamsa hamsa.
Kesho wanaitisha mkutano na waandishi wa habariNasikia Morrison kawakera huko Instagram.
Weee jamaa mchawikwa wale timu kubet yanga 0 azam 1
ndiyo ila DUBE Alipofunga mwamba katoka uwanjaniSaido vipi Alianza kucheza kikosi cha kwanza. ?
TumefanyajeSimba acheni shobo
Yanga ni kama jobo mikwara mingi balaaa
Na hata ile mechi yao ya kwanza angewaua,sema tu wakawahi kumwumiza.Na hata walipanga hivyo.Dube ameshamaliza kazi,kawaonyesha Utopolo kuwa hawajui soka.
Siyo ya kwanza tu hata ya pili hatunaKumbe mnajua kabisa nafasi ya kwanza sio yenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Metacha Mnata yuko wapi?Hata sijui aisee! Maana hata Fei Toto ndiyo namuona leo. Shikalo ni majanga kwa mipira ya mbali na ile ya kona! Na hana kabisa timing nzuri ya kutokea mipira.
Msimu ujao ni bora tu timu ikasajili magolikipa wa ndani! Wako wengi tu wanaofanya vizuri kuliko huyu Shikalo. Kama timu itafuzu kucheza mashindano ya kimataifa, halafu mlangoni akaachwa Shikalo! Hakika yatatukuta yale ya watani zetu msimu uleee wa hamsa hamsa.
Huyu dada yetu yupo kweliI miss you Shadeeya
Hongera mkuu kwa utabiriYanga wanakufa kwa tofauti ya goli moja