FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Sasa uto wameweza kulinganisha timu yao iliyojaa majina lakini tija hamna na mnyama mkali mwenye njaa akilia "UBAYA UBWELA"
 
Mechi ya bonanza kama hii ambayo sheria na kanuni kibao za soka zinapindishwa, kulikuwa na umuhimu gani kutoa ile kadi nyekundu?

Kipindi cha pili tumeona ile Yanga tunayoijua inayojua kuhonga.
Lakini kiongozi wao alishatangaza kuwa ushindi ni kipindi cha pili mambo yalikuwa planned na huenda alitamka vile kwa bahati mbaya hatukupaswa kujua kinachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…