Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ikitokea hivyo nitasema Simba imekosa weledi kwenye mechi za derbyHuyu Israel ni mshenzi sana aisee, sijui kwanini huwa anaependa kurudisha mipira nyuma hata bila kukabwa.
Hapa tunakufa 5 lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitokea hivyo nitasema Simba imekosa weledi kwenye mechi za derbyHuyu Israel ni mshenzi sana aisee, sijui kwanini huwa anaependa kurudisha mipira nyuma hata bila kukabwa.
Hapa tunakufa 5 lazima.
Naangaliaje game kwa kikosi hiki ndugu?Kwanini uangalii kaka
na presha Ila itapoa.Nipo Mubashara kuona Wananchi tunaibeba Ngao ya Jamii
Naangaliaje game kwa kikosi hiki ndugu?
We Ma.ta.ko jezi ndo zinacheza mpira?Mijezi Ya mijumba inavaliwa Basi tu...ni kama kumeza Dawa chungu....Kwa kuwa unaumwa ...La sivyo umezi..!
Israel hakupaswa kabisa kuanza kwenye hii mechi.Kibuuuu...dah
Na tusioangali wala kuisikliza ndio tumeidharau maradufuNaona kocha wa Simba SC ameidharau hii game, wacha nami niidharau pia.
Enheee vipi?Kibu Aiseeeeeeee
Na tusioangali wala kuisikliza ndio tumeidharau maradufu
EnheeeSafii Huyu Ndio Chamaaa