FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Huyu Israel ni mshenzi sana aisee, sijui kwanini huwa anaependa kurudisha mipira nyuma hata bila kukabwa.

Hapa tunakufa 5 lazima.
Ikitokea hivyo nitasema Simba imekosa weledi kwenye mechi za derby
 
Hilo lilikuwa goli kabisa, tumeshindwa kuwa makini hapo mbele.
 
Back
Top Bottom