FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Madilu baada ya uchaguzi mkuu asipewe tena Uwaziri wa Kwacha

Maana timu yake haina lengo la ubingwa zaidi ya kutumika kama kichaka cha kutakatisha pesa
 
Lakini haiondoi ukweli kwamba yanga ya dar imecheza na yanga ya mkoani
 
Weka na takwimu za kimataifa boss tuone Yanga alivyo mbabe dhidi ya mtani wake.
 
Weka na takwimu za kimataifa boss tuone Yanga alivyo mbabe dhidi ya mtani wake.
Unakimbilia kimataifa tu.

Punguzeni kugawa uroda kwa Yanga.

Hili mkija na tuhuma zenu za uongo angalau mpate kusikilizwa na wenye akili.

Sasa wewe mpinzani mkuu wa Yanga umefungwa game 4 mfululizo tena wewe ni mkubwa kuliko timu zilizobaki ukiotoa Yanga.

Wewe mkubwa unafungwa unashangaaje wadogo wakifungwa?

Au una wivu untaka ufungwe wewe tu kolo wenzio wasifungwe?
 
Hili gape lita wapa pressure makolo Tifu tifu waliangalie hili hatutaki lawama
 
Makolo yanatia huruma.

Kazi kuwasakizia watoto tu.

Wao kazi wameishindwa ya kumfunga yanga.
 
Madilu kishapiga zake 10% kutoka G boost anachokonoa meno tu baada ya hapo kulwa atakuja kutamba
 
Unakimbilia kimataifa tu.
Kule hakuna Janja janja

Punguzeni kugawa uroda kwa Yanga.
Lafudhi, lafudhi.
Hili mkija na tuhuma zenu za uongo angalau mpate kusikilizwa na wenye akili.
Usiwe serious sana, ni utani wa jadi huu. Tuhuma serious zinafunguliwa mashtaka, ushamuona yeyote amewashtaki?
Sasa wewe mpinzani mkuu wa Yanga umefungwa game 4 mfululizo tena wewe ni mkubwa kuliko timu zilizobaki ukiotoa Yanga.
Yanga angekuwa mkubwa angevuka makundi kimataifa, ni mdogo mno.
Wewe mkubwa unafungwa unashangaaje wadogo wakifungwa?
Sijashangaa boss, ntashangaa mkivuka makundi.
Au una wivu untaka ufungwe wewe tu kolo wenzio wasifungwe?
Hahaha, Kahongeni waharabu kwa $ tujue mpo serious maana ndo wanawatusuaga hamvuki.
 
Yanga aina tofauti na Kengold tu. Zote hazıpo CAF
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…