FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Ila wabongo tuacheni siasa,kuna watu wanajua mpira haswa na wana mipango
 
Wewe unaona Kuna Dalili yeyote ya hatari Yanga inaleta? Hakuna kitu ndio maana nasema Simba walicheza vizuri Jana kuliko huu uto wa Yanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii muda badoo.
 
Wanakosaaa bao waziii kabisaaa, cm zingeitaaa hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…