FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hongera mtani aisee, tukiacha ushabiki yanga ana nfs kubwa sn kwenda nusu kuliko sisi simba. Mamelod sio mgumu kihivyo km watu wanavyodhani, pia hana nidhamu na mpira. Na naona msimu huu atatolewa tena kwa goli la ugenini
 
Simba waliishika mechi Jana acha ushabiki maandazi.

Leo Yanga kupata sare ni ushindi mtaenda Kufa kiume huko South Africa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
We huku huna ujualo. Endelea kuramba makalio ya makonda. Kaamka asubuhi hii, hana tena uenezi. Mfariji leo Rais wako mtarajiwa. Mbumbumbu mwenzako asiyejua anatakiwa angee nini kwenye hadhara ipi. Ye ni mikwara tu kila sehemu.
 
Kwani wanapokuwa wana posses mpira wanakua wameuweka ndani ya jezi? Pass di ndiyo zinaunda possession? Au mimi ndiye naelewa tofauti?
Mkuu Mimi Mtanzania Mwenzako sitoki kwa Mandela natoka kwa Nyerere..
Usinikasirikie mkuu..
Mimi sio UBUNTU-BOTHO..

nafasi haikuwa upande wenu Kama ambavyo haikuwa upande wetu Juzi so lets Correct our mistakes..
Ili tuingie Nusu fainali bado nafasi tunayo wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…