Mkuu kamuacha Mzize dakika zote kwasababu nje hatuna straika yeyote wa maana yaani Guede ndio wale wale afadhari ya Mzize. Kwa jana sina pa kumlaumu kocha, laiti kama Yanga angekuwa na wamaliziaji wa maana game ingeisha kwa ushindi mnono kabisa kwa Yanga.Sijaelewa kwa nini Gamond kumwacha Mzize karibia dakika zote za mchezo. Msimu ujao Yanga watafute namba tisa wa kueleweka. Yanga inapaswa kubakia na mchezaji mmoja kati ya Gwede, Musonda na Mzize.
π π€£ π π π we nawe kiazi tu. Yaani unatolewa ukatibu mwenezi alafu uwe mkuu wa mkoa kimkakati.Amepelekwa kaskazini ki mkakati. Elewa hilo
Hizi ni hatua ya mtoano, katika hatia ya mtoano jambo la kwanza hakikisha mpinzani wako hapati goli la ugenini kwasababu goli la ugenini ni mlima mkubwa kuelekea mechi ya marudiano.Mbona hapa nyumbani kwako hujamfunga? Ndo ukamfunge kwake? Hebu nijibu kwan mtaniiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
A kama unacheka kwa hasiraπ π€£ π π π we nawe kiazi tu. Yaani unatolewa ukatibu mwenezi alafu uwe mkuu wa mkoa kimkakati.
Nguvu ya kujibu imekuja baada ya mechiMtoto halali na hela umepigaje hapo? Haya walivyokuja, ndivyo wanaondoka. Tunawafata kwao...
ππππππππππππππ
SInce 1935
#tunakujasouthafrca#
KichekoBado unacheka au umeamuaje
Hata mimi nawashangaa waliropoka sana kuwa mamelody hana cha nyumbani wala ugenini popote anakufunga.Tulishakubaliana Mamelody hana cha nyumbani wala away, naona maelezo yanaanza kuwa mengi.
Aisee we mwanamkeπππ.Kwa madiba tunaenda kuwachinja ila mechi ilikuwa tamu, Yanga kaonyesha uanaume sio unafungwa kwenu km simba wa Dar zoo π€£π€£π€£π€£
Hatuna shida na mganga wetu kazi ameifanya imeonekana, hatumdai kuku, ila wa juzi weeee unaambiwa mganga karudisha kuku π€£π€£π€£π€£yanga pamoja na kuroga kote lakini bado wanashangilia sare wakitegemea kwenda kupata goli la ugenini.
possession ya nyumbani yanga 20% mamelodi 80%[emoji23]
Kwenye makolozdad wote wewe ndie mwenye akili timamu.Sawa ujue any draw ya magoli Yanga kapita?
Mchezo ukimalizika 1-1. au Sare yoyote ya magoli Yanga kapita.
Tusichukulie poa mbinu ya Gamondi.
Wasijisahau tu na matayarisho ya kucheza dakika 120 kwenye jua la saa 9 huku baadhi ya wachezaji wakiwa kwenye swaumu, mazoezi ya penalti na na fitina ya kukosa visa kwa baadhi ya wachezaji kama alivyofanyiwa MAYELE.Kwa mtu anayewajuwa Aucho, Pacome na Yaoyao kutokuwepo kwenye game hii ana haki ya kushangilia hayo matokeo hawana goli la ugenini kama walilopata Al Ahaly.
Yanga inakwenda kuwaondowa mashindanoni Mamelodi kwao ikiwa iko na kikosi kamili.
Hapana mechi ya marudiano inachezwa usiku pia kule South Africa.Wasijisahau tu na matayarisho ya kucheza dakika 120 kwenye jua la saa 9 huku baadhi ya wachezaji wakiwa kwenye swaumu, mazoezi ya penalti na na fitina ya kukosa visa kwa baadhi ya wachezaji kama alivyofanyiwa MAYELE.
Hahaaaaa haya bro, naona masandawena hasira za Al Ahly unazihamishia kwa Makonda sio?Mbin
A kama unacheka kwa hasira
πππββοΈπ©π©
Halafu mi kiazi? Kiazi kipi mbatata au kiazi kitamu?. Halafu wee pacha wangu
Ni kweli hilo hata mi nimemwambia. Hapa Rage anatakiwa amuombe msamaha jamaa sio mbumbumbu ila kwa mtu kama Scars Au OKW BOBAN SUNZU au 1979Magufuli bila kumsahau mkubwa wa masandawane Mapopoma GENTAMYCINE bila kumsahau SAYVILLE Rage alitakiwa ayaite Mapoyoyo, madunduka, mambumbumbu na Madwanzi kabisa na ayazibue na mabao kabisa.Kwenye makolozdad wote wewe ndie mwenye akili timamu.
Kuanzia leo wewe sio mbumbumbu.
Yanga amefanikiwa, kwakua mbinu yake ilikua kujilinda na hajaruhusu kufungwa.Eh!
Makubwa haya.
Kimbinu kati ya Simba na Yanga nani alifanikiwa kiufanisi??
Kwahiyo unahisi utamfunga mamelodi pale Pretoria?Kwani msimu ulopita mpaka Yanga anafika Final si kazitoa timu zilizomzid ubora katika viwango vya CAF??
USM alger aliyempokonya kombe Al Ahly la super cup Yanga si tulimfunga kwao 1-0 fainali CAFCC??
Je Alger tuliwezaje kumfunga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mwenyeji kwako umeshindwa kumpiga adui, ndo ukampige nyumbani kwake?Hizi ni hatua ya mtoano, katika hatia ya mtoano jambo la kwanza hakikisha mpinzani wako hapati goli la ugenini kwasababu goli la ugenini ni mlima mkubwa kuelekea mechi ya marudiano.
Jambo la pili ndio ufunge goli.
Matokeo ya 0 - 0 sio matokeo mabaya kwa Yanga kwasababu bado mechi inakuwa bado 50 - 50 kule South. Itategemea tena na mipango ya mabenchi ya ufundi wanaingia na mbinu ipi. Hata Mamelod nae walitamani wapate goli la ugenini ili mechi hiishie huku huku Dar ila wameshindwa