Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kocha alishatoa tamko tangu jana ya wa kwamba ameona awaache nje kwenye hii mechi ya kwanza, ili wacheze mechi ya marudio huku wakiwa fiti kabisa.View attachment 2949342Pacome simuoni!🥺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha alishatoa tamko tangu jana ya wa kwamba ameona awaache nje kwenye hii mechi ya kwanza, ili wacheze mechi ya marudio huku wakiwa fiti kabisa.View attachment 2949342Pacome simuoni!🥺
Sawa sawa mkuu..Hadithi za mtume ni uzushi,khalifa ummar,Kama unamjua alipiga marufuku huo uzushi, khalifa Abu bakr hakuuendekeza,aliona umeja uzushi na haukua muongozo wake
Kaka nimefurahi mkude yupo,hajaanza sure boy..pengo la aucho halitaonekanaUmeona kikosi?
Aucho na Pacome hawapo
Hapo unazungumzia engine ya Yanga
Kwema Mtani naona leo mapema kabisa upo kwa uzi huku ukituombea dua mbaya. 😂😂Mtani una kiraru mbona, kwemaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu punguza preshaa.
Tumekwishaa ephen_ , hayupo pacome????? Mkude humo anatafuta nini?Kikosi cha Yanga kinachoanzaView attachment 2949331
Huo ni uogaLeo labda maxi na azizi k wafanye miujiza aisee maana bila pacome na aucho naona tuta struggle sana
Anatafuta kuchezaTumekwishaa ephen_ , hayupo pacome????? Mkude humo anatafuta nini?
Umeshaona kikosi chako hadi subs? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaaa. Ndio ndio Mtani. [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1731][emoji1731][emoji1731]
Kwa kikosi hiki tuandike maumivu
Ahhhh bas hapo kwishnei habar yetuAnatafuta kucheza
Hata sub hawapo??Wote mnaomponda mkude Mimi namuamini sana najua uwezo anao sema uhuni wake tu
Vipi kama wakiingia kipindi cha pili kina aucho na pacome?
Kwanza wale nadhani hawajapona vizuri
Hafi mwananchi🫠Mnakufaaaaa....
Hawapo hata benchi wanaingiaje mkuu au huu ni mpira wa chandimu?Wote mnaomponda mkude Mimi namuamini sana najua uwezo anao sema uhuni wake tu
Vipi kama wakiingia kipindi cha pili kina aucho na pacome?
Kwanza wale nadhani hawajapona vizuri
Muamini mkude yupo vizuri akitulia Leo mamelodi hachomoki labda draw akijitahidiAhhhh bas hapo kwishnei habar yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtanii punguza preshaa, relaaaaaaxxx.Kwema Mtani naona leo mapema kabisa upo kwa uzi huku ukituombea dua mbaya. [emoji23][emoji23]
Presha hata haizuiliki Mtani. [emoji23]
Kocha aliweka wazi ya kwamba kuwachezesha hao wachezaji kwenye hii mechi huku wakiwa bado hawapo fit kwa 100%, ingekuwa ni risk kubwa.Hii kikosi mpaka nimeogopa, hakuna Aucho wala Pacome duh