FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hadithi za mtume ni uzushi,khalifa ummar,Kama unamjua alipiga marufuku huo uzushi, khalifa Abu bakr hakuuendekeza,aliona umeja uzushi na haukua muongozo wake
Sawa sawa mkuu..
Ngoja niishie hapa maana naona hata jina lako linaleta utata
😂😂😂😂
Nimekusoma sana mkuu. Kuna mambo mengine huwa tunakalili tuu bila kujua deep asante kwa kuniongezea kitu 🙏🙏🙏🙌🙌
 
Mtani una kiraru mbona, kwemaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu punguza preshaa.
Kwema Mtani naona leo mapema kabisa upo kwa uzi huku ukituombea dua mbaya. 😂😂

Presha hata haizuiliki Mtani. 😂
 
Hahahahaaaa. Ndio ndio Mtani. [emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji1731][emoji1731][emoji1731]
Umeshaona kikosi chako hadi subs? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikosi kipana kipo aseeeeh.
 
Wote mnaomponda mkude Mimi namuamini sana najua uwezo anao sema uhuni wake tu

Vipi kama wakiingia kipindi cha pili kina aucho na pacome?

Kwanza wale nadhani hawajapona vizuri
 
Msije kupotea humu...... KULALALAMAMAMAKE... leo mjitahid kuzuia tu... yasiwe mengi.
 
Kwema Mtani naona leo mapema kabisa upo kwa uzi huku ukituombea dua mbaya. [emoji23][emoji23]

Presha hata haizuiliki Mtani. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtanii punguza preshaa, relaaaaaaxxx.
Niko hapa winja winjaa,
 
Back
Top Bottom