Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakwel mimi nafuatilia hapa Jf tu sijaangalia..
Vip vijana wako vyedi???
Wasifunguke Hawa ni WA kwenda nao hivi hiviMajinga hayo. Wachezaji wako 3 tegemezi hawapo lazima ujihami na technically Yanga wapo sawa hadi sasa. Kipindi cha pili, Yanga watafunguka na ushindi upo.
Mbona bado utatetemeka km Subaru mbovu, wee subiriiiFirst half nilikua natetemeka kama jenereta.
Ushabiki huu
Mzeee hao sio wakufata mipira kichwa kichwa kwa pressing, wana accuracy nzuri ya pasi halafu wana kasi vibaya mno. Mbinu hii ya kuwafanyia timing ndio nzuri.Yanga wasipofanya pressing hawatoboi
Hivyo unatushauri tujiaminishe kuwa Mamelod ni kateam kadogo?Tatizo Mlisha aminishana Mamelod ni Litimu likubwaaaaa, kiasi kwamba anapozingua, huoni kama ni makosa unadhani ni mipango, kumbe kapima kina kaona hapa sio pa kukurupuka, unalazimisha aende mbele wakati hapaendeki.
pole sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
Kweli mkuu 76 kwa 24 ni huzuni kubwa sana
🤣🤣🤣Sikuamini kabisaaa dokta
Mkuu, huu wimbo wa kujifunza kwa Simba achana nao, hauna maana hapa, Yanga wamefika tunapoishiaga sasa wanajifunza nini?yanga wawe makini naona wana mengi ya kujifunza kwa simba hasa katika hatua kama hizi
Mtego huuKocha wao kaona noma kajituliza zake bench zarau zake zimekwisha
Hii timu Ni overrated sna ila Haina maaajabu
Inatakiwa tufunguke. Hawana jipya hadi sasa.Wasifunguke Hawa ni WA kwenda nao hivi hivi
Mimi nafikiri Sio uoga bali wanacheza kwa tahadhari. Ingekuwa uoga wangekuwa wanabutua mipira hovyo.Wanaogopa mno, wanacheza kwa uoga
Mungu atusaidie kwakwelVijana wana hofu, sijui cha kusema ila tunahitaji kwenda nusu fainal na mwanga tutauona kwenye match ya leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwa malkia ntakuja baadae, now kituo hapa kwani.Jana waliwafikisha Al Alhy, sema Aston Villa wanakiwasha huku premiere league udugu unaangalia?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanga wakirudi waongeze makali nao