Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Usiilinganishe Yanga na vitu vya kijingaNasisi tulisema hivyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiilinganishe Yanga na vitu vya kijingaNasisi tulisema hivyo hivyo
Mbayaaaaa,jana tumekula burudani sanaMechi ya kimbinuu kama inaboa hivi ila kali
Kuna jamaa yangu anasema Eti Yanga tukishinda leo kweli sisi ni Majini,lakini bado naamini hata tukifungwa maneno yatakuwa zaidi.Sasa leo bora tuchague kuwa Majini tu.HahahahahNyie mna Roho Nzuri Mkuu???
Goooaaaaall, Fred Jobe anawasawazishia 5imba dhidi ya Al Ahly. Goal 1 kwa 1 hadi sasa.Gooooaaal
Hapana Yanga ndo waoga wanachofanya ni kusubiri Yanga wasogee wakipateWanaogopa mno, wanacheza kwa uoga
Tembeza shoya hilo.Gooooaaal
Msome vema hajasema muige popote kaka.Hayo Mahesabu mnayotaka tuige yamewafikisha wapi
😀😀😀😀Mbayaaaaa,jana tumekula burudani sana
Akili iliyotumika hapa ni kama unaangalia chase binafsi niwe mkweli Leo ndio nimeshuhudia mpira wa akili na maarifa tangu naiangalia YangaGame imechezwa kwa akili sana, japo kuna raia wanataka Yanga au Mamelodi wafunguke aggresively..sio rahisi
Mamelodi kina nani wako nje?No Pacome No Aucho No Yao so far so Good 🙏🙏🙏 Mungu Ibariki Yanga 💛💚💛
Upo VIP A au mzunguko?Game imechezwa kwa akili sana, japo kuna raia wanataka Yanga au Mamelodi wafunguke aggresively..sio rahisi
Pacome na Aucho wangekuwepo huenda sundown nao wasingekuja na approch yao ya kucheza kwa dharau. tupasi pasi.Game Imekuwa Ngumu Sababu Tumekosa Wachezaji Muhimu (Pacome & Aucho) Ila Discipline Imekuwa Nzuri Tumewaheshimu Wapinzani Tumecheza Vizuri.
Kila La Kheri Dar Young Africans
Burudani ya kupigwa bao moja la mapema?Mbayaaaaa,jana tumekula burudani sana
sasa wamesaidia nini ikiwa wenyewe tu hawawezi vuka roboView attachment 2949403
Marehemu alikua mbishi sana
KabisaMimi mechi ya jana imenifanya nistaafu ushabili damu, mtu unaweza kufa kizembe ukiwa hujatubu dhambi hata moja.