FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Game Imekuwa Ngumu Sababu Tumekosa Wachezaji Muhimu (Pacome & Aucho) Ila Discipline Imekuwa Nzuri Tumewaheshimu Wapinzani Tumecheza Vizuri.

Kila La Kheri Dar Young Africans
Pacome na Aucho wangekuwepo huenda sundown nao wasingekuja na approch yao ya kucheza kwa dharau. tupasi pasi.
 
Yanga anapigiwa possession 74 kwa 26 kweli Masandawana hawana huruma
 
yanga waingie kipindi cha pili kwa adabu hii itawaepusha na mengi japo baada ya huu mchezo wapitie baadhi ya mambo ya kujifuza kwa waliowatangulia naona wanakosa msingi kidogo sana
 
Tulieni majini yataanza kifunga dakika za 80 huko
 
Back
Top Bottom