FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Simba waliishika mechi Jana acha ushabiki maandazi.

Leo Yanga kupata sare ni ushindi mtaenda Kufa kiume huko South Africa 😆😆😆😆😆
Pole
20240329_222333.jpg
 
Kwa madiba tunaenda kuwachinja ila mechi ilikuwa tamu, Yanga kaonyesha uanaume sio unafungwa kwenu km simba wa Dar zoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa sanaa. Khaaah
 
Back
Top Bottom