Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
Kheri yao walioingia kwa kulipia wakafungwaPira limepoa sana, kheri kwao walioingia kutazama bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kheri yao walioingia kwa kulipia wakafungwaPira limepoa sana, kheri kwao walioingia kutazama bure
PoleSimba waliishika mechi Jana acha ushabiki maandazi.
Leo Yanga kupata sare ni ushindi mtaenda Kufa kiume huko South Africa 😆😆😆😆😆
Wewe ndio Rage FC pekee mwenye akili humu duniani.Aucho, Pacome, Yao.
Wanaweza kuongeza sana nguvu.
Hii game haijaisha
pole kwa msiba wa janaRelaaaaxxxx!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa sanaa. KhaaahKwa madiba tunaenda kuwachinja ila mechi ilikuwa tamu, Yanga kaonyesha uanaume sio unafungwa kwenu km simba wa Dar zoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii timu ya leo ilikuwa ni bora kuliko hata ile iliyocheza dhidi ya Azam na kuishia kupoteza 2-1.Daah ila tumeteseka,maana hiki kikosi nilipo kiona nilitamani ni gaili kutizama mpira.
Hata mimi. In fact Pacome aliumizwa kimakususdi tuDah nimesikitika sana kuwakosa Pacome Yao na Aucho kisa mechi ya Azam na mechi yenyewe tukapoteza😥😥😥
Akili zao zipo mat*knAjabu ni kuwa makolo wanawacheka walio pata sare tena ya zero zero
Mnata ata akicheza na ihefu roho juu juu .mi nilivoona diara nkafarijika
mana angekua mnata ningekufa
Stats hizi za Utopolo ni aibu kubwa kwa soka letu
Mtoto halali na hela umepigaje hapo? Haya walivyokuja, ndivyo wanaondoka. Tunawafata kwao...
Kwa mtu anayewajuwa Aucho, Pacome na Yaoyao kutokuwepo kwenye game hii ana haki ya kushangilia hayo matokeo hawana goli la ugenini kama walilopata Al Ahaly.Huyu ni kama hajui matokeo anadhani Yanga imeshinda
We ni sare
Hakika mkuuAucho, Pacome, Yao.
Wanaweza kuongeza sana nguvu.
Hii game haijaisha
Pole kwa maumivu unayopitia.Eti ile mechi kubwa AFRICA...HII ndio ball possesion..
Hawa ndio wachambuzi wa kibongo....!!
Wamesahau kejeli zaoYupi huyo?
Kutokuruhusu goli nyumbani ni ushindi tena kwa ukubwa wa mamelodi lazima kwangu iwe kama n ushindi.