FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Wazungu gani tena [emoji23][emoji23] kula 5
 
Kwahiyo Wazungu ndio umeona wa maana sana. Huoni Man U wanakumbushiaga zile 8 walizompiga Arsenal? Kwanini mmefungwa 5 nyie RAGE FC?
 
Nadhani wazungu wakiona comments za utopwox wanajiuliza hivi hawa 5 hizi waliotea au???? Mbona kama wana ka ushamba fulani hivi
Ni kawaida kwa watoto kuweka kumbumbuku kwa mambo yaliyopita, utasikia wanatambishia wengine.... "tulikula ubwabwa kwa khanji Bay.."

Hawajui kuwa huyo Khanji Bay mwenyewe huo ubwabwa huwapa hadi mbwa wake πŸ˜‚πŸ˜‚

Utoto raha sana, waache watambe ila siku wakikua wataacha tambo zao za kitoto
 
Ila wajinga washirikina sana hawa utopox [emoji38][emoji38] sasa uwanjani hivi huko kambini dah sipati picha
Hilo li mzeze ni jinga..wanawaonea sana timu hizi wakati jujui wao ana mtaulo huwa anauweka pembeni...Manula ana mtaulo mbona huwa hawaitoa mtaulo wa kipa wa Simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…