FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Bado hamjasema
 
Wala hamnizibi kwa kuendeleza umimi, wala hamnizibi kwa kuendeleza umimi

Ukitaka kupigana njoo njoo sasa nikuonyeshe shoo mie mambo yangu kwa vitendo oooooooh,


Sasa unamringia nani, hao unaowaringia ndiyo waliokupa umarufu jina,,

Wakiitwa wazuri sijui nawe utatoka uso km mbuzi w shughuli asiyojua kupoodooka

YANGA BINGWA
 
Hawa wazee mangungu,magoli,try agen ukiwatazama vizuri kwa jicho la tai utaona kama wana misimamo ya ki ccm ccm au kiserikali flan ivi yani kama bila wao akuna simba pia watazame wakiwa wanazungumza au wakiwa wanajibu maswali then wasikilize viongoz wakiserikali utagundua
 
Mudi anasema 'hela ipo benki'...yule mwanasiasa bhana...
Naona hatununui wachezaji wa kuleta matokeo kwenye mechi kubwa, tunabahatisha tu. Hapo tukikutana na timu ndogo sasa, tutapiga tatu kuendelea. Sijui, labda tutabadilika, ngoja tuone.
 
Naona hatununui wachezaji wa kuleta matokeo kwenye mechi kubwa, tunabahatisha tu. Hapo tukikutana na timu ndogo sasa, tutapiga tatu kuendelea. Sijui, labda tutabadilika, ngoja tuone.
Hasibu langu kumbe we Simba 😅
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…