aliye ashibiwa na caf kisa ndumba ni nani
HahaahaaUnbeaten wa mchongo leo mtapewa kipigo. Simba 3 uto 0.
Mashuti hewaaa one shoot one goal. Sema shukuruni fauloooyanga kaongoza mashuti kuelekea golini
Furaha yetu au hamna uwezo wa kutufunga?Kurudia mara nyingi ndio furaha yenu hilo mbona liko wazi na juxi tu hapo Ally Kamwe amekiri
Hapo katika mahesabu yenu mmebakiza mechi moja ya marudiani
Ikitokea tumekutana FA huo utakuwa ni mkakati mpya ulioingilia Ratiba, thats why kwenye zile 4-1 tulixoeafunga zilitokana na unexpected schedule ambayo hamkutegemea
Mlikuwq na uwezo wa kutoa sare au kushinda ile mechi, ila kwasababu ratiba ya FA haitabiriki mkashindwa kuliweka hilo kwenye malengo ya Club
Kigoli cha kuotea? Nilimsikiliza juzi Fei toto anasema alimuotea Kipa amejisahau maana alijua hawezi tegemea atapiga mbali kule. Mimi nataka kama kweli mnaiweza Simba vzr anzeni goli 3 kwenda mbele na hakikisha Simba hajawafunga hata moja yani iwe 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na kuendelea ila mojaaFuraha yetu au hamna uwezo wa kutufunga?
Kweni mwaka nusu fainali FA mwaka huu Yanga alicheza na nani?
Hatuna uwezo au focus yetu ni tofauti na nyie?Furaha yetu au hamna uwezo wa kutufunga?
Kweni mwaka nusu fainali FA mwaka huu Yanga alicheza na nani? au ratiba ya FA ilitabirika?
tushukuru tena faulo,kwani nyie hajapata faulo maeneo yale vp mlizitumiajeMashuti hewaaa one shoot one goal. Sema shukuruni faulooo
Dada mpira haujui kaoshe viombo sisi tunadicuss technically wewe unazani mpira mdako.Kigoli cha kuotea? Nilimsikiliza juzi Fei toto anasema alimuotea Kipa amejisahau maana alijua hawezi tegemea atapiga mbali kule. Mimi nataka kama kweli mnaiweza Simba vzr anzeni goli 3 kwenda mbele na hakikisha Simba hajawafunga hata moja yani iwe 2 kwa 0 au 3 kwa 0 na kuendelea ila mojaa
Si mngekua mnalia sasa hivi?tushukuru tena faulo,kwani nyie hajapata faulo maeneo yale vp mlizitumiaje
Sawa dadaWewe kama unavaa dela usifikiri ni wote na ndio maana Club yenu ikaamua kuwaenzi kwa kuwaweka kwenye logo
Ushawahi ona wapi Club ya mpira wa miguu ya wanaume imeweka mademu wakiwa ya sare ya kigodoro kwenye nembo?
Yani nbc bora uongee vingine ila sio nbc kaka. Huku tupo tuu kuwakeraaa huo ufundi peleka vetaDada mpira haujui kaoshe viombo sisi tunadicuss technically wewe unazani mpira mdako.
Kupigwa kupigwa dada yangu,wewe umenipiga 4 mechi moja mara moja mimi nimekupiga mara tatu mfululizo.
Hivi unakumbuka mara ya mwisho kumfunga Yanga kwenye NBC premier league ilikuwa lini?
Focus ingekuwa si mechi hii kwa nini mmwambia Mgunda akitaka kumpa mkataba ashinde mechi tatu moja wapo ikiwa hii au unazani hatujui.Hatuna uwezo au focus yetu ni tofauti na nyie?
Sisi tukisema tuweke mikakati ya kuhakikisha Yanga tunamfunga, basi tukikutana inakuwa ni kimbari au Ukraine
Mnaspend mwaka mzima kwa aji ya kutafuta ushindi wa 1-0 ndio nini sasa?
NBC unamkera nani? Mpira sio mdako huu .Yani nbc bora uongee vingine ila sio nbc kaka. Huku tupo tuu kuwakeraaa huo ufundi peleka veta
"Kumbe nimemsema vibaya mumeo dadangu! Sorry" [emoji16]Dah... Kumbe nimemsema vibaya mumeo dadangu! Sorry
Tulia tunawakera nyie na bao zenu mojaNBC unamkera nani? Mpira sio mdako huu .
Na bado nita endelea kukupiga wewe ushindi wako ni droo.Tulia tunawakera nyie na bao zenu moja
Hyo mwisho ni leo tuu yajayo yanafurahisha. Moto wa leo mtakua mkikaa mnaukumbukaNa bado nita endelea kukupiga wewe ushindi wao ni droo.
Wewe mimi wewe kuku wangu sihitaji hata manati na kufungulia mlango unaingia mwenyewe.Hyo mwisho ni leo tuu yajayo yanafurahisha. Moto wa leo mtakua mkikaa mnaukumbuka