Sijui kama mtani leo atachomoaTupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
View attachment 2864134
Sawa MasereUtoporooo mnapigwa si chini ya goli mbili leo....[emoji3][emoji3][emoji3]
Ina maana Mzize na Zengeli huwa hawapati nafasi kwenye first eleven? Umbumbumbu ni mzigo! Wachezaji huanza 11 kwa sababu hiyo ndiyo idadi inayotakiwa. Haina maana kwamba ambao hawajaanza so waziri. Ndiyo maana huwa inawezekana kufanya "rotation". Msianze kutafuta visingizio mtakapokandwa.Squad ya Gamondi kwenye Mapinduzi ni ile ile (wachezaji wasiopata nafasi first eleven)
Sio sijui kaka hawezi kutoboa hata kwa dawa kwa mpira wa hao APR na vile hawa akina Farid wanavyorukaruka .
Ana kaza lakini,ataleta goli muda si mrefuHuyu Skudu ana mambo mengi sana yasiyokuwa na faida yoyote.
Ngoja tuone.Ana kaza lakini,ataleta goli muda si mrefu
MmezidiwaApr shabiki mkongwe kabisa nipo hapa
Chuma ya motoTayariiiiiiiiiii