Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Leo ni mechi ya kitoto tena, mechi ya kikubwa ilikuwa jana yaani full ushindani.Wazee wa kupeleka moto.
Kasema wachezaji wamecheza chini ya kiwango. unaelewa maana yake ama unaleta tu utopolo wako hapa.Nimekuuliza kuhusu simba sc wewe unaleta mambo ya Argentina hauna hoja wewe ngoja nikuache uendelee kujieleza tu hapa hivi ujamskia kocha jana akilalamika au upo upo tu
Sasa unadhani hata nimekuelewa basi?Leo ni mechi ya kitoto tena, mechi ya kikubwa ilikuwa jana yaani full ushindani.
Uto wanapambana kwa kutupa mabomu mochwari, wana lunyasi wanapambana kwa kutupa mabomu katika kambi za jeshi 😂
Mbona umeongea kama sio mtu wa mpira umeongea kama mtu wa uswahilini je Yanga sc alivokupiga 5 wewe ulikuwa ni mzima au ulikuwa mbovu nijibu haya maswali simba ni mzima au mbovuLeo ni mechi ya kitoto tena, mechi ya kikubwa ilikuwa jana yaani full ushindani.
Uto wanapambana kwa kutupa mabomu mochwari, wana lunyasi wanapambana kwa kutupa mabomu katika kambi za jeshi 😂
Mkuu usipoteze muda na shabiki mandaziMbona umeongea kama sio mtu wa mpira umeongea kama mtu wa uswahilini je Yanga sc alivokupiga 5 wewe ulikuwa ni mzima au ulikuwa mbovu nijibu haya maswali simba ni mzima au mbovu
Unamwuliza mbumbumbu!Mbona umeongea kama sio mtu wa mpira umeongea kama mtu wa uswahilini je Yanga sc alivokupiga 5 wewe ulikuwa ni mzima au ulikuwa mbovu nijibu haya maswali simba ni mzima au mbovu
Wewe kweli kolo na mtaishia hivyo hivyo kuwa wabovu siku zote na mnakuja kujieleza sana hapa na ndio maana kwenye ligi haufanyi vizuri kwa sababu ya dharau zenu ni mwendo wa suluhu na vipigo tabulele raaaaaaa 5 zilikuumiza mpaka haupo sawa sawa kwani ukikubali na kusema Mimi ni mbovu unashindwa Nini wenzio wanashine wewe utaishia kuwa na husda hadi ukomeee kolo weweKasema wachezaji wamecheza chini ya kiwango. unaelewa maana yake ama unaleta tu utopolo wako hapa.
Ina maana wana kiwango ila wamecheza chini ya kiwango chao hakusema wachezaji wana kiwango kidogo.
Kabla hamjapiga hizo tano mlikuwa mmeshapigwa 6 na hamjawahi kuzirudisha, nakushangaa unapoacha kuzizungumzia hizo 6 na kukimbilia kwenye zile tano za kuotea.Mbona umeongea kama sio mtu wa mpira umeongea kama mtu wa uswahilini je Yanga sc alivokupiga 5 wewe ulikuwa ni mzima au ulikuwa mbovu nijibu haya maswali simba ni mzima au mbovu
Kwani hujui kusoma?Sasa unadhani hata nimekuelewa basi?
Simba ni mara ya kwanza kufungwa 5?Wewe kweli kolo na mtaishia hivyo hivyo kuwa wabovu siku zote na mnakuja kujieleza sana hapa na ndio maana kwenye ligi haufanyi vizuri kwa sababu ya dharau zenu ni mwendo wa suluhu na vipigo tabulele raaaaaaa 5 zilikuumiza mpaka haupo sawa sawa kwani ukikubali na kusema Mimi ni mbovu unashindwa Nini wenzio wanashine wewe utaishia kuwa na husda hadi ukomeee kolo wewe
Yeye na Jamhuri kiwango chao sawaMbona umeongea kama sio mtu wa mpira umeongea kama mtu wa uswahilini je Yanga sc alivokupiga 5 wewe ulikuwa ni mzima au ulikuwa mbovu nijibu haya maswali simba ni mzima au mbovu
Acha kupanic we Uto wahed 😁Mkuu usipoteze muda na shabiki mandazi
Ndìo sijui kusoma wala kuandikaKwani hujui kusoma?
Naunga mkono hojaYeye na Jamhuri kiwango chao sawa
Ndio maana wote tumewachomeka 5.
Usihangaike na shabiki wa kutupa mabomu mochwari. Anakimbia hoja ya wao kutupa mabomu mochwari na kuingiza ile ya wao kubahatisha kufunga timu kubwa, mwache ashangilie hizo goli 5 maana mpaka leo hawaamini waliwezaje kufunga timu kubwa kama Simba ilhali wao ni vyura 😂😂Simba ni mara ya kwanza kufungwa 5.
Mbona tulishawahi kufungwa tano dabali dabali mpaka mkatuita Hamsa Hamsa lakini bado tuliendelea kuwa imara zaidi kwenye mashindano ya Caf.
Waliwahi kufungwa 8-0 Barcelano na Bayern Munich itakuwa simba?? Labda mseme nyie wenyewe mnajishangaa kujifunga simba 5-1.
Ona mlivyo utopolo... kwa hiyo Jamhuri na Simba wanacheza ligi moja???Naunga mkono hoja
Simba ni mara ya kwanza kufungwa 5?
Mbona tulishawahi kufungwa tano dabali dabali mpaka mkatuita Hamsa Hamsa lakini bado tuliendelea kuwa imara zaidi kwenye mashindano ya Caf.
Waliwahi kufungwa 8-0 Barcelano na Bayern Munich itakuwa simba?? Labda mseme nyie wenyewe mnajishangaa kujifunga simba 5-1.
Rudi shuleni tafadhaliNdìo sijui kusoma wala kuandika
Hauna hoja Tano zimewavuruga nyieOna mlivyo utopolo... kwa hiyo Jamhuri na Simba wanacheza ligi moja???
Nilidhani ni viongozi tu wa makolo wana maproblem kumbe hadi wafuasi wao.Rudi shuleni tafadhali