FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

Eti simba ni kubwa kuliko Yanga 😁🀣🀣🀣🀣🀣🀣 muongeza zero
 
Charles kilian hizo takwimu zisizotambuliwa na TFF huwa mnaziokoteza wapi??

Kama zilikuwepo mwaka 1977 mlivyopigwa 6-0 mngekumbushia zenu za 9-0. Yaani mwaka 1938 yalikuwa mashindano gani hayo??
 
Charles kilian hizo takwimu zisizotambuliwa na TFF huwa mnaziokoteza wapi??

Kama zilikuwepo mwaka 1977 mlivyopigwa 6-0 mngekumbushia zenu za 9-0. Yaani mwaka 1938 yalikuwa mashindano gani hayo??
Umeona kaka umerudia palepale unajieleza sana una uhakika na ulicho andika rage alikuwa sahihi sana kuwaiteni lile jina
 
Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
Kila la kheri Yanga SC

View attachment 2859709
Wewe nadhani hata kazi huna mjini unawaza mautopolo tuu. Watu tunaangalia mpira just fo leisure wewe umeshafanya MRADI hadi unafungua Uzi. Wenzako wapo kazini wewe kazi unafanya saa ngapi?
 
Ingekuwa timu ndogo msingejisumbua kukumbuka zile 5 mlizopiga, ila kwa kuwa Simba ni timu kubwa hamjaamini hadi leo mliwezaje kuishinda hiyo timu kubwa πŸ˜‚πŸ˜‚
wayaaaaa ayubu iloooooo 🀣🀣🀣🀣😁😁
 
Wana husda na chuki vimewazidi ndo maa ni waongeza zero mediocre
Ndo maana hawafanikiwi
Ingekuwa timu ndogo msingejisumbua kukumbuka zile 5 mlizopiga, ila kwa kuwa Simba ni timu kubwa hamjaamini hadi leo mliwezaje kuishinda hiyo timu kubwa πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu ebu punguza kidogo!

Mbona unatumia vibaya mvi? Wenye mvi wanasifika kua na hekima wewe vepe?
 
Mkuu ebu punguza kidogo!

Mbona unatumia vibaya mvi? Wenye mvi wanasifika kua na hekima wewe vepe?
Mvi na kushangilia timu ndogo kufunga timu kubwa nani ana matumizi mabaya ya Mvi? Au na wewe huwa unapaka super black kama yule mfadhili wenu mwenye nguvu ya vyura?
 
Wewe nadhani hata kazi huna mjini unawaza mautopolo tuu. Watu tunaangalia mpira just fo leisure wewe umeshafanya MRADI hadi unafungua Uzi. Wenzako wapo kazini wewe kazi unafanya saa ngapi?
Unijui sikujui Mimi unknown wewe unknown usilete kujuana i am old school don't battle with me you pussy
Hijos de puta madre
 
Wataalamu wa kuseti minara ya 5g Leo wamerudi tena yaani ni zaidi ya starehe Leo
Sio kama wale wa Jana mpira kama wanalima
South Sudan kuna tatizo la mtandao Engineer Hersi kawatuma vijana wakafunge mnara wa [emoji2393] G kama tulivyo fanya Djibouti , kinondoni, Zanzibar na Msimbazi
 
Mnapoleta nyuzi zenu hizi jaribuni basi kuandik kinag ubaga, hayo ni mashindano gani, hizo timu zipo nafasi zipoi nk..

Nyuzi uchwara za namna hii, ambazo hawa members hukimbilia kuanzisha ili nao waonekane ni maarufu ni sifa za kijinga.
Hawajui kitu
 
Sawa ni mbovu, lakini kwa ubovu wake hadi fifa na Caf wanaitambua kuwa ni team bora, sasa huo ubovu haupo Yanga isiyotambuliwa kuwa ni team bora?

Simba tutaenda kushiriki kombe la dunia kwa vilabu, Yanga mtakwenda au mtabaki kusherehekea goli 5?
Sawa mtani ila wewe timu yako mbovu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…