FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

Sawa ni mbovu, lakini kwa ubovu wake hadi fifa na Caf wanaitambua kuwa ni team bora, sasa huo ubovu haupo Yanga isiyotambuliwa kuwa ni team bora?

Simba tutaenda kushiriki kombe la dunia kwa vilabu, Yanga mtakwenda au mtabaki kusherehekea goli 5?
😁🀣🀣🀣Unachekesha kweli simba hii ya kina ayubu na beki unga unga chemalone labda CAF na FIFA ya lindi na mtwara labda
 
😁🀣🀣🀣Unachekesha kweli simba hii ya kina ayubu na beki unga unga chemalone labda CAF na FIFA ya lindi na mtwara labda
Jibu swali plz Uto mtaenda world cup ama mtabaki kushangililia mliipiga timu goli 5 timu kubwa inayoshiriki world cup?
 
Kwenye maelezo yako hauja jibu Simba mbovu au sio mbovu
 
Kwenye maelezo yako hauja jibu Simba mbovu au sio mbovu
Mbona nimejibu mkuu πŸ˜‚

Kwa kukusaidia kuelewa kwamba nimejibu nilisema kwamba ni kawaida kwa vitimu vibovu kuzipiga timu zisizo mbovu, nimetoa mfano wa MU na bayern Munich hizi timu huwa zinapigwa goli nyingi na vitimu vibovu huko ulaya, na hivyo vitimu huwa havijisifu vinapozipiga hizo timu maana vinajua vimebahatisha tu πŸ˜‚

Sasa kwa bongo yetu hii timu mbovu hawakuamini pale walipoipiga 5 timu bora kabisa Africa, maana wao Uto wanajijua wazi hawana ubavu wa kijilinganisha na Simba imara hivyo walipoipiga walijiona wanaendelea kushangilia mpaka leo kwa sababu waliifunga timu bora.

Nimeshakupa jibu, sasa tuendelee na uzi wetu wa Uto kutupa bomu lingine mochwari 😁
 
Kwa nini hutaki kujibu swali langu mkuu?

Nimekuuliza Uto mtacheza world cup?

Nasubiri jibu
Simba hawezi kushiriki huko acha ubishi kaka na kama angeshiriki ataishia kupigwa 10 Kila mechi kwa beki zile kina che Malone hamna kitu mulee acha ubishi
 
Yanga wanakutana na wachovu wenzao... Jamus wanacheza ligi daraja la pili sudan kusini
 
Siku Yanga ikifungwa goal 5 na simba kuna mashabiki na waandishi wa habari uchwara wa Yanga watajinyonga mchana kweupe
 
Siku Yanga ikifungwa goal 5 na simba kuna mashabiki na waandishi wa habari uchwara wa Yanga watajinyonga mchana kweupe
Makolo hii inaweza tokea katika ndoto tu ila si katika uhalisia wake ni kama kuhesabu hela usingizini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…