FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

AZIZ KI
mwamba kutoka burkinabe.. Anaweka mpira wa3 kambani wananchi wanatakataaa! Nani aliwakatia tamaa WANANCHI!
Popote pale ulipo mwananchi piga kifua mara3 useme MIMI NI MWANANCHI nawakilisha taifa kuwakanda wauza ukwaju
 
Leo kwa mara ya kwanza katika miaka ya hivi karibuni nimeona Azam at least wakijaribu kutaka kupata ushindi dhidi ya Yanga maana Yanga wamekuwa wanajipigia tu kama kumsukuma mlevi.
 
Azam amezoea kulambwa sana na Yanga .
Hivi kina kipindi hajalambwa kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…